Imagem de capa de Pastor Alex Do Cavaco
Pastor Alex Do Cavaco

Pastor Alex Do Cavaco

EstiloGospel
Cidade/EstadoRio de Janeiro / RJ
Plays265.261plays
Tamanho
Imprimir

Wana Baraka

Composição: Pastor Alex do Cavaco.
Wale waomba Bwana, Wana heshima wale wambao, Ndiyo Yesu Mwema! Wana uzima wale waombao, Wana ushindi wale walalamikao, Wanafurahi walio na Yesu Mwema! Wana baraka wale wasemao, Yesu ni Mwokozi wetu. Wana uzima wale wasemao, Yesu ndiye mwombezi. Wanafurahi walio na Yesu, Wanashinda shida zote kwa Yesu, Sauti - Halleluya! Halleluya! Tuna Yesu Mwema! Wana uzima wa milele nao, Wanapendwa nao Baba yetu. Waaminifu watavikwa taji la utukufu; Watatembea katika nuru ya uso wake; Sauti - Halleluya! Halleluya! Tuna Yesu Mwema! Uje kwetu roho mtakatifu Ututakase mioyo yetu; Utupe nguvuzo za kuushinda ulimwengu; Na tuweze kufika mbinguni pamoja nawe; Sauti - Mapokeo

4

plays

Comentários

Filtrar Por:
Escreva um comentário

Playlists relacionadas à musica